Damu Yangu Dylan: Penzi la mama kwa mwanae (Afrikaans Edition) por Victoria David

Titulo del libro: Damu Yangu Dylan: Penzi la mama kwa mwanae (Afrikaans Edition)

Autor: Victoria David

Fecha de lanzamiento: December 12, 2018

Damu Yangu Dylan: Penzi la mama kwa mwanae (Afrikaans Edition) por Victoria David

Damu Yangu Dylan: Penzi la mama kwa mwanae (Afrikaans Edition) de Victoria David está disponible para descargar en formato PDF y EPUB. Aquí puedes acceder a millones de libros. Todos los libros disponibles para leer en línea y descargar sin necesidad de pagar más.

Victoria David con Damu Yangu Dylan: Penzi la mama kwa mwanae (Afrikaans Edition)

DAMU YANGU DYLANDAMU YANGU DYLAN, ni kitabu cha aina yake kimeandikwa kwa mtindo wa barua. Mama akimwandikia mtoto wake, aitwaye Dylan.Ni kitabu kilichojaa hisia na mapenzi tele ya mama kwa mtoto.Ni raha iliyoje kujisoma.Victoria Frank Mkubwa, anazungumza na mtoto wake akimsimulia mambo kadha wa kadha. Anasimulia kuanzia namna alivyokutana na baba yake, David Spencer.Haachi kusimulia jinsi penzi la msichana wa Kitanzania, na raia wa Uingereza lilivyoanza. Ni uhusiano ambao ungeweza kuzua maswali kwa mtu yoyote. Ilikuwaje hata hawa wawili wakakutana? Mama Dylan, mwandishi wa kitabu analifahamu hili fika.Ndiyo maana, kitabu kinaanza na barua inayosema : "Mama yako nimekuandikia kitabu hiki cha kumbukumbu ambacho nitakueleza ukweli halisi wa maisha yako. Nafahamu pindi utakapokuwa mkubwa, ungependa kujua lipi hasa chimbuko lako. Kwanini baba yako ni Mzungu wakati mama yako ni Mwafrika?Mama yako nimelitambua hilo mapema. Nimeonelea ni vema kukuandikia barua hizi. Nimefanya hivi ili kukupa majibu ya maswali ambayo huenda utajiuliza. Mimi pekee ndiye mwenyee majibu sahihi.Hivyo kupitia barua zangu hizi, ninakwambia ukweli.Asanteni Wasomaji wote wa lugha yetu ya Kiswahili. Pia nimeandika kitabu kingine kinachoitwa MZUNGU WA NDOTO ZANGU. Hakikisha hukikosi huku nimewawekea uhondo na mambo ya mapenzi tu.Kwa maoni ushauri usisite kuwasiliana na Mwandishi wa kitabu hiki kupitia E-mail hapo chini. [email protected] ya kijamii napatikana Youtube/c/victoriadavid77Instagram: @victoriadavid77

Los más vendidos Libros